KUKU

Tunazalisha na kusambaza vifaranga wa kuku walioboreshwa maarufu kama kuku chotara, Kuku hawa wana uvumilivu mkubwa dhidi ya magonjwa, wanakua haraka na wanataga kwa kiwango kizuri sana.

Pia tunaunda na kusambaza mashine za kutotolesha vifaranga (incubators)

Kwa zaidi ya miaka mitano tumekua tukisambaza vifaranga na mashine za kutotolesha viranga (incubators) kwa wateja wetu toka mikoa mbalimbali takribani nchi nzima

Kwa mahitaji yako ya viranga bora wa kuku chotara, mashine za kutotolesha viranga zilizo automatic na zenye kutumia kiasi kidogo sana cha umeme, sisi ndio suluhisho la uhakika